Habari za Punde

Kombe la Mapinduzi Mafunzo na Mtibwa Zanzibar. Timu ya Mtibwa Imeshinda bao 1--0

Mshambuliaji wa Timu ya Mtibwa akijiandaa kumpita beki wa Timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Mtibwa imeshinda mchezo huo kwa bao 1--0
Mshambuliaji wa Timu ya Mafunzo akimpita beki wa Timu ya Mtibwa wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Beki wa Timu ya Mtibwa akimiliki mpira huku mshambuliaji wa Timu ya Mafunzo akijiandaa kumzuiya.
Wachezaji wa Mafunzo na Mtibwa wakiwania mpira
Mpira sio ugomvi kipa wa timu ya Mafunzo akimsikiliza Mchezaji wa Timu ya Mtibwa akiwa chini baada ya kuumia katika mchezo huo Timu ya Mtibwa imeshinda bao 1--0

Beki wa Timu ya Mafunzo akiondoa mpira langoni kwake 

Mshambuliaji wa timu ya Mafunzo akimpita beki wa Timu ya Mtibwa.
Beki wa Timu ya Mafunzo akimshika mshambuliaji wa Timu ya Mtibwa wakati wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.