Habari za Punde

Michuano ya Mapinduzi Cup Kati ya Mtibwa na Azam Mchezo Uliofanyika katika Uwanja wea Amaan Timu Hizo Zimetoka Sare ya 1--1

 
 Mkuu wa Jeshi la JKU Zanzibar akisalimiana na Waamuzi wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Kati ya Mtibwa na Azam mchezo uliofanyika Uwanja wac Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sarev ya Bao 1--1
 Viongozi wa Timu ya Mtibwa Wakilalamikia bao lao la kuongoza baada ya kukataliwa na mshika kibendera kwa madai ya mfungaji akiwa ameotea.Wakilalamika kwa kunyimwa bao lao la ushindi dhidi ya Azam. 
Askari ya FFU wakimshindikiza mshika kibendera wakati wa mchezo huo kumalizika kwa kutishiwa kupigwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.