Habari za Punde

Mkesha wa Mwaka Mpya Zenj

Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC wakiwa katika viwanja vya Karume House wakati wa mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya wa 2016 na kuuaga mwaka 2015.

Wananchi wakiwa katika bustani ya Forodha Zenj wakisuburi kuukaribisha mwaka mpya wa 2016 katika viwanja vya bustani hiyo kwa kupata vitafuna.
Magari yakiwa yamechorwa mwaka 2016 wakati wa mkesha huo katika maeneo ya bustani ya foro Zenj.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.