Habari za Punde

MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA MUZDALIFAH WAFANYIKA.

 Baadhi ya washiriki katika Mkutano Mkuu wa mwaka2015 wa Jumuiya ya Muzdalifah Islamic Charitable wakimsikiliza kwa makini mwenyekiti hayupo pichani wakati akitoa maelezo kuhusiana na muzdalifah na kumkaribisha mgeni rasmi katika Ukumbi wa Kidongo Chekundu (MENTAL) Zanzibar.
 Katibu Mkuu wa Muzdalifah Farouk akitoa maelwzo kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu na Kufungua Mkutano huo katika Ukumbi wa Kidongo Chekundu (MENTAL) Zanzibar.Mkutano huo katika Ukumbi wa Kidongo Chekundu (MENTAL) Zanzibar.
 -Mwenyekiti wa Muzdalifah Sheikh Abdalla Hadhar akitoa kuhusiana na muzdalifah na kumkaribisha mgeni rasmi katika Ukumbi wa Kidongo Chekundu (MENTAL) Zanzibar.
 -Mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Jumuia ya Muzdalifah Mkurugenzi kutoka idara ya Mikopo Zanzibar Suleiman Haji akizungumza na wafanyakazi wa Muzdalifa katika Mkutano mkuu wa Muzdalifa katika Ukumbi wa Kidongo Chekundu (MENTAL) Zanzibar
Mjumbe wa Mkutano Mkuu Salim Rashid akitoa mchango wake kuhusiana na maendeleo ya Muzdalifah katika Ukumbi wa Kidongo Chekundu (MENTAL) Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.