Habari za Punde

Dk Shein, Maalim Seif Sharif Balozi Seif Ali Iddi na Rais Mstaafu Dk Amani Karume na Wananchi Mbalimbali Wakishiriki katika Mazishi ya mke wa Balozi Mohammed Faki, Shamim Hussein Ibrahim Zanzibar.

Rais wa Zanibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Balozi Mstaf Mohammed Faki Mume wa Marehemu, wakiwa katika viwanja ma msikiti wa mbweni Zanzibar akihudhuria mazishi hayo. 
Wananchi wakihudhuria msiba wa nmarehemu Shamim yaliofanyika nyumbani kwake Mbweni Zanzibar.
Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Karume na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad wakiwa nje ya mskiti mbweni baada ya kumalizika sala ya kumsalia marehemu Shamim Hussein. wakizungumza.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Makamu wa Pili wa Rais wa  Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiwaongoza Wanananchi katika mazishi ya marehemu Shamim Hussein katika makaburi ya Chukwani Zanzibar.
Ndugu na Jamaa wa Marehemu wakishiriki katika mazishi hayo katika makaburi ya Chukwani Zanzibar.
Wananchi mbalimbali wakijumuika katika mazishi ya Marehemu Shamim Hussein Ibrahim yaliofanyika katika makaburi ya Chukwani Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akiwka mchanga katika kaburi 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwka mchanga katika kaburi 
Waziri Haroun Suleiman akiweka mchanga katika kaburi baada ya kuulaza mwili wa marehemu katika kaburi kwa ajili ya mazishi yake yaliofanyika katika Kijiji chao Chukwani Zanzibar.
Ndugu na Jamaa wa marehemu wakishiriki katika mazishi hayo .
Ustadh akimsoma  dua marehemu Shamim baada ya mashizi hayo katika makaburi ya Chukwani Zanzibar 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Naibu Mufti wa Zanzibar akisoma dua wakati wa mazishi hayo katika makaburi ya Chukwani Zanzibar  
Wananchi na Waumini wa Kiislamu wakiitikia dua wakati wa mazishi ya marehemu Shamim Hussein Ibrahim yaliofanyika katika makaburi ya Chukwani Zanzibar nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.