MATANGAZO MADOGO MADOGO

Friday, January 8, 2016

Tangazo Binti wa Miaka 13 Khadija Hassan Amepotea

Sarina Murji's photo.


Khadija Hassan who is 13 years old has been missing since Monday 4th January 2016 , she was last seen at KEKO Mwanga. If you see her immediately call 0657697217 or 0719 537 565 Naomba utusaidie kusambaza ujumbe huu: Mtoto was dereva wetu aitwa Khadija Hassan anaye umri 13 amepotea tangia Jumatatu tarehe 4 January 2016. Mwisho alionekana eneo la KEKO Mwanga. Ukimuona tafadhali utupigie Simu 0657697217 or 0719 537 565