Habari za Punde

LADY IN RED 2016 AFTER PARTY KUFANYKA KESHO JUMAMOSI


Baada ya mama wa mitindo Maarufu kama Asya Idarous kwenda kuiwakilisha Tanzania kupitia Tasnia hiyo nchini London kwa kufnya Onesho la Lady In Red 2016 siku ya Tarehe 13/2/2016, iliyo pambwa kimuziki na Nyota wa Bongo Fleva Rich Mavoko kwa udhamini wa ClubMalibu London, Kesho Jumamosi Tarehe 20/2/2016 After Party ya Lady In Red 2016 itafanyika Regecy Park Hotel mikocheni Jijini Dar. Katika Party hiyo kutakuwa na designers pamoja na wadau wengine wa mitindo, Designers wote walio shiriki Lady In Red 2016 iliyofanyika tarehe 31/1/2016 Tanzania watapewa Certificate za Shukrani. Party hiyo itaanza ku- shine kuanzia saa mbili kamili usiku hadi saa sita usiku, kumbuka haina kiingilio wapenzi wa mitindo wote wanakaribishwa unakosaje mtaarifu na mwenzio. 
https://www.youtube.com/watch?v=FlmDI3bLOtE. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.