WASANII wa kikundi cha Mkota ngoma kutoka Mkoani, wakionyesha sura za huzuni mwisho wa igizo lao, lililoonyesha athari za matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, kwenye maadhimisho ya siku ya sheria ambapo kwa Pemba yalifanyika uwanja wa Tibirinzi Chakechake Pemba, na kuhutubiwa na Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba
MKUU wa
Mkoa wa kusini Pemba (kulia) Mwanajuma Majid Abdallah, akimsalimia Mkuu wa Wilaya ya Chakechake
Hanuna Ibrahim Massoud, kabla ya Mkuu huyo wa Mkoa kuwahutubia wananchi na
wanasheria, kwenye siku ya sheria ambayo kwa Pemba ilifanyika uwanja wa
Tibirinzi Chakechake
VIONGOZI
mbali mbali waliomeza kuu wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba Mwanajuma
Majid Abdalla, wakiwa wamesimama kuitikia wimbo wa taifa, kwenye maadhimisho ya
siku ya sheria, ambapo kwa Pemba yalifanyika uwanja wa Tibirinzi Chakechake
Pemba
WAENDESHA Mashitaka, mahakimu na mawakili wa
kujitegemea wamesimama kuitikia wimbo wa
taifa, kwenye maadhimisho ya siku ya sheria ambapo kwa Pemba yalifanyika uwanja
wa Tibirinzi Chakechake Pemba, na kuhutubiwa na Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba
JAJI wa
Mahakamu kuu Zanzibar Mhe: Rabia Hussein Mohamed akielezea malengo
waliojipangia kwenye Idara ya Mahakama, kwenye maadhimisho ya siku ya sheria
ambapo kwa Pemba yalifanyika uwanja wa Tibirinzi Chakechake Pemba, na
kuhutubiwa na Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba
MDHAMINI wa
afisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka Pemba Al-baghiri Yakuoti Juma akisoma hutuba
kwenye kwenye maadhimisho ya siku ya
sheria ambapo kwa Pemba yalifanyika uwanja wa Tibirinzi Chakechake Pemba, na
kuhutubiwa na Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba
WAENDESHA
Mashitaka, mahakimu na mawakili wa kujitegemea
wakimsikiliza Jaji wa mahakama kuu Zanzibar Mhe: Rabia Hussein Mohamed,
kwenye maadhimisho ya siku ya sheria ambapo kwa Pemba yalifanyika uwanja wa
Tibirinzi Chakechake Pemba, na kuhutubiwa na Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba,
VIONGOZI wa
taasisi mbali za serikali na wafanyakazi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa kusini
Pemba Mwanajuma Majid Abdalla, kwenye maadhimisho ya siku ya sheria ambapo kwa
Pemba yalifanyika uwanja wa Tibirinzi Chakechake
ya
watendaji wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC na hakimu wa mahakama ya
mkoa Chakechake Khamis Simai wa mwisho kushoto, wakibadilishana mawazo kwenye
maadhimisho ya siku ya sheria ambapo kwa Pemba yalifanyika uwanja wa Tibirinzi
Chakechake
MAWAKILI wa kujitegemea, mahakimu, waendesha
mashitaka, wanasheria wengine pamoja na majaji wa mahakamu kuu wakiongozwa na
Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba, na Mkuu wa wilaya ya Chakechake kwenye picha ya
pamoja, mara baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya siku ya sheria (law day)
yaliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment