Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe. Samia Akutana na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Kuweit leo.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Kuweit Dkt. Mahadhi Juma Maalim wakati Balozi Mahadhi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu  Dar es salaam leo kwa ajili ya kujitambulisha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Kuweit Dkt. Mahadhi Juma Maalim wakati Balozi Mahadhi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu, Dar es salaam leo kwa ajili ya kujitambulisha. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Kuweit Dkt. Mahadhi Juma Maalim wakati Balozi Mahadhi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu         Dar es salaam leo Februari 25, 2016 kwa ajili ya kujitambulisha. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.