Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Uongozi wa shirikisho la michezo la mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi (SHIMMUTA) ulioongozwa na Mwenyekiti wa shirikisho hilo Khamis Mkanachi, wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Februari 17, 2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Uongozi wa shirikisho la michezo la mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi (SHIMMUTA) ulioongozwa na Mwenyekiti wa shirikisho hilo Khamis Mkanachi, wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa katika Picha ya pamoja na uongozi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma Taasisi na Makampuni Binafsi wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo
(Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment