Habari za Punde

Matukio ya Picha Mitaani Zenji

Mjasiriamali katika eneo la darajani akiwa katika harakati za kuweka sawa bidhaa hizo za viazi mbatata katika eneo hilo kwa ajili ya wateja wake kilo moja ya viazi mbatata inauzwa kwa shilingi 900/ - na 800/- katika eneo hilo. 
Mfanyakazi wa maegesho ya magari katika eneo la bustani ya mkunazi zenj akihoji uingiaji wa gari hiyo katika eneo hilo la maegesho. eneo hilo maarufu kwa jina la sharja. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.