Naibu Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Luhaga Mpina akiongea na
Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Siku ya Mazingira Barani Afrika
inayofanyika kila tarehe 3 ya Mwezi Machi ikiwa ni pamoja na kuwakumbusha
Watanzania kushiriki katika kutekeleza
jukumu la kufanya usafi wa mazingira linalofanyika kila
juma mosi ya mwisho wa mwezi Kitaifa.
Sehemu ya Wadau na Waandishi
wa Habari walioshiriki kusikiliza Tamko la Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa
Rais- Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba lililotolewa kwa niaba na
Naibu Waziri wake , Mheshimiwa Luhaga Mpina katika Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa
Rais jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment