Habari za Punde

Nyumba Iliyoungua Moto Kiponda Ikiwa katika Hatua za Mwisho za ukarabati.

 Nyumba ya Wakaazi wa mtaa wa Kiponda Unguja katika Mji Mkongwe tayari limeshafanyiwa mategenezo yake kwa kiasi kikubwa na karibu kumalizia ujezi huo kuweza kuruhusu wakaazi wa nyumba hiyo kurudi katika Makaazi yao Ujenzi huo unafanywa na Kamati ya Maafa ya Zanzibar, na tayari limeshafanyiwa ukarabati mkubwa wa kuezekwa kwa bati jipya na kumalizia sehemu ya ndani ya jengo hilo kama linavyoonekana pichani. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.