Habari za Punde

Rais Dk John Pombe Magufuri Akiwa Safarini Dodoma.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiwa safarini kuelekea Dodoma akisimama na kuzungumza na Wananchi wa Morogoro mchana huu.(Picha na Ikulu )
 Wananchi wa Msavu morogoro wakimsikiliza Rais Dk John Pombe Magufuli na wananchi hao akiwa safarinin Mkoani Dodoma leo.
 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi wa Morogoro wakati wa safari yake kuelekea Mkoani Dodoma leo mchana huu.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.