Habari za Punde

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akutana na Balozi wa Zambia Nchini Mhe.Judith Kangoma -Kapijimpanga leo Ikulu

Balozi wa Zambia Nchini Mhe Judith Kangoma-kapijimpanga akimsalimia kwa unyenyekevu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne February 23, 2016
Picha na ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.