Friday, March 18, 2016

BMT yaanzisha semina ya wadhamini Nchini.

Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo Taifa (BMT) Bw. Mohamed Kiganja akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani akielezea Semina ya masoko na wadhamini wa Michezo Nchini katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar es salaam kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya
kiserikali ya Pro- Event Masters Ltd  Bw. Henry Tandau. 
Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Pro- Event Masters Ltd  Bw. Henry Tandau akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani akielezea Seminay a masokona wadhamini wa Michezo Nchini katika mkutano uliofanyika leo jijini  Dar es salaam kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo Taifa (BMT) Bw. Mohamed Kiganja.

PICHA ZOTE NA ALLY DAUD-MAELEZO