Habari za Punde

Dk Shein ahudhuria mkutano wa 17 wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, Arusha

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein baada ya kuwasili katika Hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha palipofanyika mkutano wa 17 wa Nchi za Afrika ya Mashariki EAC,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri Museven baada ya kuwasili katika Hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha palipofanyika mkutano wa 17 wa Nchi za Afrika ya Mashariki EAC,(kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.]
  Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika ya Mashariki akiwemo mwenyekiti wa mkutano wa 17 wa EAC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kabla ya kuanza kwa mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Ngrdoto Mkoani Arusha,[Picha na Ikulu.]
 Miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walioalikwa katika mkutano wa 17 wa Viongozi wakuu wa nchi za Afrika ya Mashariki EAC  uliofanyika leo ukumbi wa Ngurdoto Hotel Mkoani Arusha,(katikati) Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini,akiwa na Mawaaziri wa Nchi za Jumuiya hiyo,{Picha na Ikulu.]

  Baadhi ya waalikwa katika  wakiwa katika ukumbi wa mkutano Ngurdoto Mkoani Arusha leo wakimsikiliza Mwenyekiti wa Mkutano wa 17 wa Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (kulia) akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa  mkutano wa 17 wa Viongozi wakuu wa nchi za Afrika ya Mashariki EAC  uliofanyika leo ukumbi wa Ngurdoto Hotel Mkoani Arusha,{Picha na Ikulu.]
 Viongozi wakuu wa Nchi za Afrika ya Mashariki wakisimama wakati wimbo wa umoja wa nchi hizo ukipigwa katika mkutano wa 17 wa EAC uliofanyika leo ukumbi wa Ngurdoto mkoani Arusha,[Picha na Ikulu.]
 Mwenyekiti wa Mkutano wa 17 wa Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (wa tatu kushoto) akiongoza mkutano huo uliofanyika leo ukumbi wa Ngrdoto Hotel mkoani Arusha,wengine ni Vionngozi mbali wa Jumuiya hiyokamawanavyoonekanwa,[Picha na Ikulu.]

Mwenyekiti wa Mkutano wa 17 wa Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (kulia) akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa  mkutano wa 17 wa Viongozi wakuu wa nchi za Afrika ya Mashariki EAC  uliofanyika leo ukumbi wa Ngurdoto Hotel Mkoani Arusha,wengine ni Vionngozi mbali wa Jumuiya hiyo wakimsikiliza ,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.