Habari za Punde

Dk Shein Aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar Afisi Kuu Kisiwandui leo.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM wakiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria mkutano huo leo mchana.
Wajumbe wa Kamati Maalum wa CCM Zanzibar wakibadilishana mawazo kabla ya kuza kwa mkutano huo. 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe Shamsi Vuai Nahodha akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Kamati Maalumu ya CCM Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kiswandui Zanzibar kuhudhuria Mkutano Kamati Maalum ya CCM uliofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar alipowasili Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai, alipowasili katika Afisi Kuu ya CCM kuhudhuria Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM uliofanyika leo mchana. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg Borafya Silima Juma.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wazazi Zanzibar Najma Giga. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. 
Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano kabla ya kuaza kwa Mkutano huo
Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano kabla ya kuaza kwa Mkutano huo. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika ukumbi wa Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kulia Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai. 
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakisimama kumpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakisimama kumpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai, akitowa maelezo kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Maalum yac CCM Zanzibar kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.kilichofanyika Afisi Kuu Zanzibar. 
 Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wakati wa kuanza kwa kikao hicho kilichokuwa Chini ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.