Habari za Punde

Msaada kwa Ndugu Yetu Ahmed Al baity Unahitajika (VIDEO)


albety
Ukiwa ndugu, jamaa na rafiki, bado mchango wako wa hali na mali unahitajika kwa ajili ya ndugu na mpendwa wetu, Ahmed Albaity (pichani) ilikuweza kuendelea na hali yake ya matibabu. Waweza kuhabarika zaidi kupitia taarifa hii ya video hapa chini. Karibuni sana
.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.