Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na viongozi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza mara baada ya kuwasili jijini hapo jana akitokea mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akisaini katika kitabu mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Mwanza,mara baada ya kuwasili jijini hapo jana akitokea Kagera kwa ziara ya kikazi.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza,ACP Japhet Lusingu(kushoto), akitoa taarifa ya hali ya usalama katika mkoa wa Mwanza kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(katikati) mara baada ya Naibu Waziri kuwasili jijini Mwanza jana akitokea mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi.Kulia ni Mkuu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai mkoa wa Mwanza,SSP Augustine Senga.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jeshi la
Polisi Mkoani Mwanza mara baada ya kuwasili jijini hapo jana akitokea Kagera
kwa ziara ya kikazi.
(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Imeandaliwa
na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment