NYUMBA inayomilikiwa na Hassan Salim Rashid (40) mkaazi wa shehia ya Kangagani Jimbo la Kojani wilaya ya Wete Pemba, ikiwa imeungua moto, usiku wa kumakia Machi 12 majira ya saa 8:00 usiku, ingawa kwa siku hiyo ya tukio, hakukuwa na mtu alielala, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
HASSAN Salim Rashid (40) mkaazi wa shehia ya Kangagani Jimbo la Kojani wilaya ya Wete Pemba, akizungumza na waandishi wa habari nje ya nyumba yake, ambayo iliungua moto, usiku wa kumakia Machi 12 majira ya saa 8:00 usiku, ingawa kwa siku hiyo ya tukio hakukuwa na mtu alielala, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
SHEHA wa shehia ya Kangagani wilaya ya Wete Pemba, Fakih Omar Yussuf akiwaeleza waandishi wa habari jinsi wananchi wake wawili nyumba zao zilivyoungua moto, usiku wa kuamkia Machi 12 mwaka huu shehiani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BIBI Zainab Ali Makame ambae ni jirani wa Hassan Salim Rashid ambae Hassan yumba yake iliungua moto juzi usiku wa kuamkia Machi 12 eneo la Kangagani wilaya ya Wete, akizungumza na waandishi wa habari, ambapo kuliripotiwa matukio sita Mkoa wa kaskazini Pemba yautiaji moto, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment