Mratibu wa Idara ya
maafa Pemba Khamis Arazak akizungumza na wanafunzi wa skuli ya Msingi Ndagoni,
juu ya mambo mbali mbali ya kujikinga na maafa wakati
yanapotokea
Kaimu Mkurugenzi wa
kamisheni ya kukambiliana na Maafa Zanzibar Makame Khatib Makame,akizungumza na wanafunzi wa skuli ya ndagoni Msingi, juu ya kukabiliana na
maafa yanapotokea
Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Msingi Ndagoni Wilaya ya Chake Chake Pemba , wakiwa makini kufuatia mada mbali mbali zinazohusiana na maafa, wakati walipokuwa wakipatia taaluma hiyo kutoka Idara ya Maafa Pemba.
Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Ndagoni wakimsikiliza Maratib wa
Idara ya Maafa Pemba, Khamis Razak hayupo pichani wakati alipokuwa akitoa aina
za maafa kwa wanafunzi hao.(Picha na
Hanifa Salim, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment