Habari za Punde

Zantel Yatoa Kompyuta na Huduma ya Intaneti Bure kwa Kituo cha Mkubwa na Wanawe.

Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akizungumza na waandishi wa habari wakati wa akikabidhi msaada wa kompyuta tatu na intaneti bure kwa mwaka mzima kwa kituo cha Mkubwa na Wanawe. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa kutoka Wizara ya Michezo, Habari na Utamaduni, Bi Leah Kihimbi akifuatiwa na mwanamuziki kutoka bendi ya Yamoto, Aslay.
Meneja wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Yusuph Chambuso akitoa shukrani kwa kampuni ya Zantel kwa kuwapa kompyuta na intaneti ya bure. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akifuatiwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya      Sanaa kutoka Wizara ya Michezo, Habari na Utamaduni, Bi Leah Kihimbi
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa kutoka Wizara ya Michezo, Habari na Utamaduni, Bi Leah Kihimbi akizungumza na waandishi wa habari wakati wa wa hafla fupi ya makabidiano ya msaada wa kompyuta tatu na intaneti bure kwa mwaka mzima      kwa kituo cha Mkubwa na Wanawe kutoka kampuni ya Zantel. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akifuatiwa na Meneja wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Yusuph Chambuso
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (mwisho kushoto) akifuatiwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa kutoka Wizara ya Michezo, Habari na Utamaduni, Bi Leah Kihimbi wakikabidhi msaada wa kompyuta tatu na intaneti bure kwa mwaka mzima kwa kituo cha Mkubwa na Wanawe kutoka kampuni ya Zantel. Wanaopokea mwisho kulia ni msanii Aslay na Meneja wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Yusuph Chambuso. 
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (mwisho kushoto) akifuatiwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa kutoka Wizara ya Michezo, Habari na Utamaduni, Bi Leah Kihimbi wakikabidhi msaada wa kompyuta tatu na intaneti bure kwa mwaka mzima kwa kituo cha Mkubwa na Wanawe kutoka kampuni ya Zantel. Wanaopokea mwisho kulia ni msanii Aslay na Meneja wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Yusuph Chambuso.
  1. Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (mwisho kushoto) akifuatiwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa kutoka Wizara ya Michezo, Habari na Utamaduni, Bi Leah Kihimbi wakikabidhi msaada wa kompyuta tatu na intaneti bure kwa mwaka mzima kwa kituo cha Mkubwa na Wanawe kutoka kampuni ya Zantel. Wanaopokea mwisho kulia ni msanii Aslay na Meneja wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Yusuph Chambuso.
Msanii Aslay akiishukuru kampuni ya Zantel kwa msaada wa kompyuta tatu na intaneti bure kwa mwaka mzima kwa kituo chake cha Mkubwa na Wanawe. Wanaotazama kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa kutoka Wizara ya Michezo, Habari na Utamaduni, Bi Leah Kihimbi

akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.