Habari za Punde

Bank DTB Tawi la Zanzibar Yafutarisha Wajeta Wake.


 Afisa Masoko wa Benk ya DTB  Selevesty Bahati akizungumza na kuwakaribishwa Wateja wa Benk ya DTB katika futari maalumu kwa ajili ya wateja wao iliofanyika katika hoteli ya Zanzibar Beach Resory Zanzibar jana.

Mgeni rasmin katika futari hiyo Mhe Jaji Mkuu wa Zanzibar akijumuika na Wananchi katika futari maalumu iulioandaliwa na Benki ya DTB Tawi la Zanzibar kwa Wateja wao iliofanyika katika hoteli ya Zanzibar Beach Resoty Mazizini Zanzibar. 
Wananchi wakijumuika katika Futari Maluum ilioandaliwa na Benk ya DTB Zanzibar.
Wananchi wakipata futari ilioandaliwa na Benk ya DTB Tawi la Zanzibar kwa Wateja wao katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.Aliyekuwa Meneja wa Tawi la Benki ya DTB Zanzibar Ndg Athumani Juhudi akizungumza wakati wa hafla hiyo na kuwaaga Wateja wake kwa kuhamishiwa Kikazi Mkoani Tanga.kushoto ni Wafanyakazi wa Benki hiyo. 
Meneja wa Benki ya DTB Tawi la Zanzibar Ndg Mbarouk Ramadhani akijitambilisha kwa Wateja wa Benki hiyo wakati wa futari maalum ilioandaliwa kwa aijili ya Wateja wao Zanzibar iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 
Wateja wa Benki ya DTB wakiwa katika ukumbi wa hafla hiyo.
Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Hassan Othman Ngwali akisoma dua baada ya kumaliza hafla ya futari ilioandaliwa na Benki ya DTB katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Meneja wa Benki ya DTB Tawi la Zanzibar Mbarouk Ramadhani akiagani na wateja wa Benki yake baada ya kumalizika kwa hafla ya futari ilioandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.