Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Azindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Makaika leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Malaika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Malaika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam leoMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi ya CD yenye vipindi mbalimbali kutoka kwa watoto waliokua wakiishi katika mazingira magumu kwenye uzinduzi wa Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Malaika vilivyozinduliwa  leo, katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi cheti kwa mwakilishi wa kampuni ya simu za mikononi Zantel kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo kuweza kufanikisha uzinduzi wa Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Malaika vilivyozinduliwa leo,katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam.  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi cheti kwa mwakilishi Mkaazi wa UN Women Bibi Anna Pollins kwa kutambua mchango uliotolewa na Shirika hilo katika kuwezesha kufanikisha uzinduzi wa Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Malaika vilivyozinduliwa leo,katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na watoto waliokua wakiishi katika mazingira magumu wakati uzinduzi wa Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Malaika vilivyozinduliwa leo,katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam.  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na  kutoka katika Tasisi mbalimbali walioshiriki katika uzinduzi wa Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Mlaika vilivyozinduliwa leo, katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam.  

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na  kutoka katika Tasisi mbalimbali walioshiriki katika uzinduzi wa Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Mlaika vilivyozinduliwa leo Juni 06,2016 katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam. (Picha na OMR) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.