WANACHAMA wa ushirika wa ‘tufaane uliomo ndani
ya wizara ya maji Pemba, wakimsikiliza Katibu wa ushirika huo, hayupo pichani,
akisoma risala ya ushirika huo, kwenye mkutano mkuu uliofanyika Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
SHEIKH Mohamed Yahya akisoma dua maalaum ya
ufunguzi wa mkutano wa ushirika wa tufaane ‘saving and credit’, mkutano huo
ulifanyika Mamlaka ya maji ‘ZAWA’ Machomane Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
KATIBU wa ushirika wa ‘tufaane saving and
credit’ Khamis Hamad Hassan, akisoma risala kwenye mkutano mkuu wa ushirika
huo, ulifanyika Mamlaka ya maji ‘ZAWA’ Machomane Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
KATIBU tawala wilaya ya Chakechake, Rashid Abdalla
Rashid, akifungua mkutano mkuu wa ushirika wa ‘tufaane saving and credit’ ulifanyika
Mamlaka ya maji ‘ZAWA’ Machomane Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MSHIKA fedha wa ushirika wa ‘tufaane saving
and credit’ Juma Ali Juma akiwasilisha taarifa ya fedha, kwenye mkutano mkuu wa
ushirika huo, ulifanyika Mamlaka ya maji ‘ZAWA’ Machomane Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment