Habari za Punde

Mwandishi wa Habari Akiwa Katika Ziara Mkoani Tanga

Mwandishi Haji Nassor akipozi katika bango la tangazo la Chuo cha Utalii Mkoani Tanga wakati wa ziara yake Mkoani humo hivi karibu.
Daraja likiwa katika Hoteli ya Kitalii ya Tanga Beach Resort likiwa na urefu wa mita 450, inasadikiwa ni moja daraja refu pekee hapa Nchini.
Moja ya njia za Reli katika Mkoa wa Tanga amepata kutembelea mwandishi kutoka kisiwani Pemba Ndg Haji Nassor , wakati akiwa Tanga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.