Habari za Punde

Wanafunzi Skuli ya Gando wakitoka skuli kwa mapumziko

 WANAFUNZI wa skuli ya msingi ya Gando wilaya ya wete, wakitoka madarasani kwa ajili ya mapumziko rasmi ya ‘rises’ ambapo baadae hulazimika kurudi tena madarasani kuendelea na masomo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 LICHA ya serikali kupiga marufuku kwa wafanyabiashara kuacha kuuza biashara za vyakula vibivu na maji maji, katika kipindi hichi kukiwa na mripuko wa mardhi ya kipindu pindu, bado wapo baadhi yao, wamekuwa wakipuuzia amri hiyo, kama mfanyabiashara huyu akiwauzia wanafunzi wa askuli ya Gando Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.