Habari za Punde

DK.SHEIN ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko zanzibar Balozi Amina Salum Ali(wa tatu kushoto) pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (wa pili kulia) wakati alipotembelea leo katika maonesho ya 39 yaa Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiangalia biashara mbali mbali za vipodozi wakati alipotembelea banda la vikundi vya Zanzibar leo katika maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam,(kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko  Balozi Amina Salum Ali na kulia mjasiria mali Fadhil Mohamed wa Kiembesamaki Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiangalia biashara mbali mbali za vipodozi wakati alipotembelea banda la vikundi vya Zanzibar leo katika maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipangalia mashine ya kutengenea sabuni pamoja kuapata melezo kutoka kwa Mkurugenzi George M.Buchafwe  wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam leo (kulia) mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Ziwanda vidogo vidogo (SIDO) Bw.Omar Jumanne Bakari,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiangalia biashara mbali mbali za viatu vya Makubadhi na Mikoba  wakati alipotembelea banda la vikundi vya Zanzibar, leo katika maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Mkombozi Group (NGARABUTO) Bw.Amos Z.Mshina,kuhusu Usindikaji  na Usambazaji wa Unga wa Muhugo katika maeneo ya Sengerema Mkoani Mwanza,wakati  alipotembelea mabanda ya maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa leo yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiangalia biashara mbali mbali ya mikoba  wakati alipotembelea leo  maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam,(kulia) Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa wote (EOTF) Mke wa Rais Mstaafu Mama Anna Mkapa.05/07/2016.  [Picha na Ikulu.] 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.