Wednesday, July 6, 2016

Matayarisho ya Ukumbi wa Baraza Eid Wakamilisha kwa Hafla ya Baraza Kesho

 Ukumbi wa Baraza la Eid  wakamilika matayarisho yake kwa ajili ya kutumika kesho kwa Baraza la Eid  kama unavyoonekana pichani ukiwa unapendeza baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa