Habari za Punde

Mawaziri wa Utawala bora SMT na SMZ wakutana


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.

1 comment:

  1. Huyo waziri Kairuki ingependeza kama ungelisema ni waziri wa wapi

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.