Habari za Punde

Mbunge wa Chakechake Pemba Azungumza na Wajasiriamali wa Jimbo lake.

Mbunge wa Jimbo la Chake Chake Yussuf Kaiza Makame, akizungumza na wajasiriamali wa jimbo la Chake Chake, juu ya kujikusanya kwa pamoja na kuunda vikundi vikubwa vitakavyowapatia maendeleo ya haraka na kupata wafadhili, kuliko kuendelea kubakia katika vikundi vyao vya kuweka na kukopa tu, mkutano huo uliofanyika katika skuli ya Sekondari ya Madungu.

Mwenekiti wa Jumuiya ya PESACA kisiwani Pemba Haji Mwadini Oky, akizungumza na wajasiria mali huko wa Jimbo la Chake Chake huko katika Ukumbi wa skuli ya Mdungu Sekondari Kisiwani Pemba
Wajasiriamali mbali mbali kutoka vikundi 95 vilivyomo ndani 

ya jimbo la Chake Chake, wakimsikiliza kwa makini Mbunge 

wa jimbo hilo Yussuf Kaiza, wakatiu alipokuwa akizungumz 

anao huko katika ukumbi wa skuli ya Madungu Sekondari
Mbunge wa Jimbo la Chake Chake Yussuf Kaiza Makame, akziungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Kisiwani Pemba, mara baada ya kuzungumza na wajasiria mali wa Jimbo la Chake Chake katika skuli ya Madungu Sekondari
Mwakilishi wa Taasisi ya IRI kutoka Tanzania Bara Tony 

Alfread, akizungumza na waandishi wa habari kutoka 

vyombo mnbali mbali vya habari kisiwani Pemba, juu ya 

uwepo wa taasisi yao katika kuwasaidia wajasiriamali 

mkutano uliofanyika skuli ya Madungu Sekondari.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.