WAFANYABIASHARA kisiwani
Pemba, wakiwa kwenye mkutano maalum wa kujadili mfumo wa ukaguzi bora wa
bidhaa, mkutano ulioandaliwa na Taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS, uliofanyika
kiwanda cha Makonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
WAFANYABIASHARA kisiwani
Pemba, wakiwa kwenye mkutano maalum wa kujadili mfumo wa ukaguzi bora wa
bidhaa, mkutano ulioandaliwa na Taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS, uliofanyika
kiwanda cha Makonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
AFISA Mdhamini wizara ya
biashara viwanda na Masoko Pemba Abdalla Juma Khamis, akizungumza kwenye
mkutano maalum, wa kujadili mfumo wa ukaguzi bora wa bidhaa, mkutano
ulioandaliwa na Taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS, na kufanyika kiwanda cha
Makonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha na
Haji Nassor, Pemba).
MKUU wa Mkoa wa
kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza kwenye mkutano maalum wa
kujadili, mfumo wa ukaguzi bora wa bidhaa, mkutano ulioandaliwa na Taasisi ya
Viwango Zanzibar ‘ZBS’ na kufanyika kiwanda cha Makonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAZIRI wa Biashara
Viwanda na Masoka Zanzibar Mhe: Balozi Amina Salum Ali, akizungumza katika
ufunguzi wa mkutano maalum wa kujadili mfumo wa ukaguzi bora wa bidhaa, mkutano
ulioandaliwa na Taasisi ya Viwango Zanzibar ‘ZBS’ na kufanyika, kiwanda cha
Makonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha na
Haji Nassor, Pemba).
MKURUGENZI mkuu wa Taasisi ya
Viwango Zanzibar ‘ZBS’ Khatib Mwadini Khatib, akiitambulisha taasisi hiyo, kwa
wafanyabiashara kisiwani Pemba, kwenye mkutano uliofanyika Kiwanda cha Makonyo
Wawi Chakechake Pemba, (Picha na Haji
Nassor, Pemba).
MKUU wa Ukaguzi,
Udhibiti na Uboro wa biadhaa kutoka Taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS Suleiman
Abdalla Mohamed, akiwasilisha mada juu ya Mfumo wa Udhibiti, na Ubora pamoja na
ukaguzi, kwa wafanyabiashara kisiwani Pemba, kwenye mkutano uliofanyika Kiwanda
cha Makonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
MAJI ya Aqua Blue
Zanzibar, ambayo ni moja kati ya bidhaa zinazolishwa na kampuni hiyo, ambayo
imeshathitishwa ubora wake na Taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS, ambayo pia
yalitumika kupewa washiriki kwenye mkutano uliofanyika Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment