Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya ya Chake afungua mafunzo ya Usalama wa Viwanja vya Ndege

 Ofisa Mdhamini Wizara ya Mawasiliano na Usafirishaji Pemba,   Hamad Ahmed  Baucha, akizungumza jambo na Washiriki wa Mafunzo ya Usalama wa Viwanja vya Ndege huko katika Kiwanja cha ndege cha Karume Pemba.
 Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akifungua mafunzo ya Usalama wa Viwanja vya Ndege Zanzibar huko katika Ukumbi wa Kiwanja cha ndege cha Karume Pemba.Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib,akiwa na Kaimu Meneja wa Kiwanja cha ndege cha Karume Pemba Fatma Moh'd Yussuf pamoja na Ofisa Mdhamini wa Wizara ya Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, Hamad Ahmed Baucha huko katika Kiwanja cha ndege cha Karume Pemba.

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege  , pamoja na wafanyakazi wa kitengo cha usalama wa Viwanja vya ndege Zanzibar , wakiwa katika picha ya pamoja huko katika Kiwanja cha ndege cha Karume Pemba, kabla

ya kuanza mafunzo ya Usalama kwa Wafanyakaziwa Kitengo hicho na maafisa mbali mbali wa ulinzi na usalama Pemba.


Picha na bakar Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.