Habari za Punde

Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Wapata Mafunzo ya Ufuatiliaji wa Dawa Sokoni.


 Mratibu wa uwiano wa matumizi ya Dawa Afrika mashariki kwa upande wa Zanzibar Bi. Hidaya Juma Hamadi akisoma utaratibu wa mafunzo ya wiki mbili ya ufuatiliaji wa dawa katika soko kwa wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar.


Mkufunzi wa mafunzo ya ufuatiliaji wa Dawa katika soko Bi. Kisa Mwamwitwa akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar katika ukumbi wa ofisi za malaria Mwanakwerekwe Mjini Zanzibar.

Baadhi ya wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ( ZFDB) wakifuatilia mafunzo hayo.

Picha ya pamoja ya washiriki wa mafunzo ya wiki mbili kwa wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ( ZFDB).
Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.