Habari za Punde

Rais Dk.Shein akutana na Muigizaji Filamu za Kihindi


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkongwe wa Filamu za Kihindi Bw.Kunal Kapoor aliyefuatana na Msimamizi wa Ofisi ya Utalii ya Zanzibar Mumbai,Nchini  India Bw.Jilesh Babla walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa Mazungumzo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake  Mkongwe wa Filamu za Kihindi Bw.Kunal Kapoor (katikati) aliyefuatana na Msimamizi wa Ofisi ya Utalii ya Zanzibar Mumbai,Nchini  India Bw.Jilesh Babla (kushoto) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.