Habari za Punde

Sherehe ya Maadhimisho Siku ya Mashujaa Tanzania Mkoani Dodoma leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Maadhimisho ya siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika uwanja wa Mnara wa Mashujaa Mjini Dodoma leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi mara  alipowasili katika Maadhimisho ya siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika uwanja wa Mnara wa Mashujaa Mjini Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan mara alipowasili katika Maadhimisho ya siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika uwanja wa Mnara wa Mashujaa Mjini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe, Dkt.John Pombe Magufuli akiweka Mkuki na Ngao katika kilele cha maadhimisho ya siku ya mashujaa katika uwanja wa mashujaa Mjini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe, Dkt.John Pombe Magufuli akipokea heshima wakati wa gwaride rasmin la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika maadhimisho ya kilele cha siku ya mashujaa yaliyofanyika katika uwanja wa mashujaa Mjini Dodoma leo, 
Vikosi vya Ulinzi na Usalama Tanzania wakitowa heshima wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa iliofanyika katika Mnara wa Mashujaa Mkoani Dodoma leo asubuhi.
Vikosi vya Ulinzi na Usalama Tanzania wakitowa heshima wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa iliofanyika katika Mnara wa Mashujaa Mkoani Dodoma leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.