Habari za Punde

Uzinduzi wa Tamasha la Mzanzibari Viwanja vya Mnara wa Kumbukumbuku Michezani Kisonge.

 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akitembelea mabanda ya maonesho ya biashara mbali mbali za wajasiriamali kabla ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja leo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akiangalia kamusi la lahaja la Kipemba wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya bidhaa  za wajasiriamali kabla ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya  Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja leo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akiangali bidhaa za wajasiriamali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho   kabla ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja leo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed (wa pili kushoto) akiangali bidhaa za wajasiriamali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho   kabla ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja leo
Wasanii wa Jeshi la mafunzo Zanzibar wakicheza ngoma ya Mkurungu yenye asili yake kjijiji cha Nungwi Wilaya Kaskazini A.Unguja wakati wa ufunguzi wa Tamasha la mzanzibari lililofunguliwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi,Michenzani Mjini Zanzibar
Wasanii mbali walioimba wimbo wa Kipindupindu mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed wakati wa Ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibar liliofungulia leo  kwa niaba ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Akina mama waliovalia vazi la asili ya Mzanzibari wakati wa sherehe za ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari lililofanyika leo katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50ya Mapinduzi ambapo mgeni rasmi akiwa  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar akitoa maelzo kuhusu Tamasha la Mzanzibari wakati wa Ufunguzi wa tamasha hilo lililofunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi,Michenzani Mjini Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akitoa hotuba ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja leo
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika Sherehe za ufunguzi wa Tamasha la mzanzibari zilizofanyika leo katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika Sherehe za ufunguzi wa Tamasha la mzanzibari zilizofanyika leo katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Maafisa mbali mbali na wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari wakifuatilia kwa makini hotubaya iliyotolewa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed   kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,

Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari wakifuatilia kwa makini hotubaya iliyotolewa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed   kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein[Picha na Ikulu.19/07/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.