MATANGAZO MADOGO MADOGO

Friday, July 1, 2016

Waandishi wanapowajibika

WAANDISHI wa habari Mariya Shaaban Mtwana wa ZBC-TV na Suleiman Rashid Omar mwakilishi wa ITV/Redio One Pemba, wakiendelea kuchukua picha kwa ajili ya kuwahabarisha wananchi kupitia vyombo vyao, (Picha na Haji Nassor, Pemba).