MATANGAZO MADOGO MADOGO

Wednesday, July 13, 2016

Wadau wa Muziki Zenj Wakiwa Wamepozi

 Wadau wa Muziki  Zenj wakiwa nje ya moja ya duka la Cafe Internet rahaleo Unguja wakipozi baada ya harakati za kazi za mchana wakiwa na mdau wa duka hilo kushoto Hassan,anayefuatilia ni Mtangazaji na Dj wa ZBC Redio Salum na Dj Issa. alotia mikono mifukoni