Habari za Punde

Ligi Kuu ya Mchezo wa Basketi Ball Kati ya Stone Town na Polisi. Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Maisara Timu ya Stone Town Imeshinda kwa Vikapu 49-43


Wapenzi wa mchezo wa Basket Ball Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar ya mchezo huo kati ya Stone Town na Timu ya Polisi mchezo uliofanyika uwanja wa Maisara Zanzibar Timu ya Stone Town imeshinda kwa vikapu 49-43.
Mchezaji wa Stone Town akiwa na mpira huku mchezaji wa Timu ya Polisi akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao huo uliofanyika uwanja wa maisara Zanzibar.















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.