Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora Chipukizi na KVZ Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ Imeshinda 4-1

Mashabiki wa mchezo wa Soka Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora kati ya Timu ya Chipukizi kutoka Pemba na Timu ya KVZ ya Unguja mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda 4--1.
Mshambuliaji wa Timu ya Chipukizi akijiandaa kuzuiya mpira huku beki wa Timu ya KVZ akiwa tayari kumzuiya. wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya KVZ imeshinda 4--1
Mshambuliaji wa Timu ya Chipukizi akimpita beki wa Timu ya KVZ 
Mchezaji wa Timu ya Chipukizi akimpita beki wa timu ya KVZ wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika uwanja wa amaan timu ya KVZ imeshinda 4--1. Mshambuliaji wa Timu ya KVZ akimpita beki wa timu ya Chipukizi wakati wa mchezo wao wa Nane Bora Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya KVZ imeshinda 4--1
Mchezaji wa Timu ya KVZ na Chipukizi wakiwania mpira. 
Benchi la Ufundi la timu ya Chipukizi likiwa limepigwa na mshagao baada ya timu yao kufungwa kwa mabao 4-1 na timu ya KVZ wakati wa Mchezo wa Nane Bora Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mshambuliaji wa Timu ya KVZ akijiandaa kumpita beki wa timu ya Chipukizi. 
Mshambuliaji wa Timu ya Chipumizi akiwa na mpira huku beki wa Timu ya KVZ akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika uwanja wea Amaan Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda 4--1. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.