Habari za Punde

Mchezo wa Ligi ya Zanzibar Mpira wa Basketi Bali Kati ya Nyuki na Polisi. Timu ya Nyuki Imeshinda kwa Vikapi 79--75.,


Mchezaji wa timu ya Nyuki akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya Polisi akiwa tayari kumzuiya wakati wa mchezo wao wa ligi ya Zanzibar uliofanyika katika uwanja wa maisara Timu ya Nyuki imeshinda kwa Vikapu 79-75. Mchezo huo uliokuwa na upinzani mkali kwa pande zote kwa funga ni kufunge hatimai Timu ya Nyuki kuibuka kwa ushindi wa Vikape 4 mbele na kupata ushindi wa mchezo huo.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.