Habari za Punde

Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba akagua ujenzi wa skuli ya Maandalizi Junguni

 Ujumbe wa Kamati ya Uongozi ya Mfuko wa maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF 3) wakiwa katika kijiji cha Junguni Gando -Pemba.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania ( TASAF 3) ambae pia ni Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na Wadau wa Kaya maskini mara baada ya kukaguwa ujenzi wa Skuli ya Maandalizi ya Kijiji cha Junguni Gando -Pemba.
 Mmoja kati mlengwa wa Kaya Maskini akipatiwa malipo yake huko katika kituo cha malipo cha Ukunjwi Gando Wilaya ya Wete.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania ( TASAF 3) ambae pia ni Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na Wadau wa Kaya maskini mara baada ya kukaguwa ujenzi wa Skuli ya Maandalizi ya Kijiji cha Junguni Gando -Pemba.

Picha na Bakar Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.