Habari za Punde

Tangazo Maalumu kwa Wananchi Kudai Risiti Wanaponunua Bidhaa Mbalimbali.ISO 9001:2008 CERTIFIED

TANGAZO MAALUM
Mamlaka ya Mapato Tanzania -Zanzibar (TRA) Inawakumbusha Wafanyabiashara Wote Kwamba ni Kosa Kisheria Kufanya Mauzo ya Bidhaa au Huduma Yoyote Bila Kutoa Risiti.

Kwa Upande wa Mnunuzi Pia ana Haki na Wajibu wa Kudai Risiti Yake Kila Wakati Anapofanya Manunuzi

Inasisitizwa Ukiuza Toa Risiti na Ukinunua Dai Risiti.

‘‘PAMOJA TUNAJENGA TAIFA LETU’’

ImetotewanaKitengo cha
ElimunaHudumakwaWalipakodi

TRA-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.