MATANGAZO MADOGO MADOGO

Tuesday, August 2, 2016

Ujumbe kutoka Manisipaliti ya Sundsvall nchini Sweden wawasili

Ujumbe wa watu wawili kutoka Sundsvall Manispaliti wawasili leo kwa ziara ya wiki moja kwa wenyeji wao Wadi ya Makunduchi.  Walipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar walipokelewa na wenyeji wao wa Makunduchi Ndugu Mohamed Simba kutoka kushoto na Mwalimu Hafidh bin Ameir  pamoja na ndugu Mohamed Muombwa (hayupo kwenye picha) ambaye ni mratibu wa mahusiano kati ya wadi ya Makunduchi na Manispaliti ya Sundsvall nchini Sweden.