WAALIMU
wa skuli za msingi na sekondari za wilaya ya Wete Pemba, wakimsikiliza Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe: Riziki Pemba Juma, wakati
akizungumza nao, kwenye ukumbi wa baraza la wawakilishi mjini Wete, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
AFISA Elimu wilaya ya wete Pemba Khamis Said Hamad,
akisoma ripoti ya kazi ya wilaya hiyo, mbele ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar Mhe: Riziki Pemba Juma, kabla ya kuzungumza na waalimu wa wilaya
hiyo, kwenye ukumbi wa baraza la wawakilishi mjini Wete, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AFISA
Mdhamini wizara ya Pemba, Salum
Kitwana Sururu akifafanua jambo mbele ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar Mhe: Riziki Pemba Juma, kabla ya waziri huyo kuzungumza na waalimu wa
wilaya ya wete, kwenye ukumbi wa baraza la wawakilishi mjini Wete, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAZIRI
wa Elimu na Mafunzo ya amali
Zanzibar Mhe: Riziki Pemba Juma, akizungumza na waalimu wa wilaya ya wete, kwenye
ukumbi wa baraza la wawakilishi mjini Wete, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWALIMU
Omar Ali Bakar wa skuli Chwale akiuliza suali kwenye mkutano wa waalimu wa
wilaya hiyo, mbele ya waziri wa wizara hiyo Zanzibar Mhe: Riziki Pemba Juma,
kwenye mkutano uliofanyika ukumbi wa baraza la wawakilishi Wete Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWALIMU
Wanu Ussi Makame wa skuli Uvinje akitaka
ufafanuzi wa jambo, kwenye mkutano wa waalimu wa wilaya hiyo, mbele ya waziri
wa wizara hiyo Zanzibar Mhe: Riziki Pemba Juma, kwenye mkutano uliofanyika
ukumbi wa baraza la wawakilishi Wete Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWALIMU
Fatma Ali Hamad wa skuli ya Maandalizi
Jadida akitaka ufafanuzi wa umri wa kustaafu, kwenye mkutano wa waalimu wa
wilaya hiyo, mbele ya waziri wa wizara hiyo Zanzibar Mhe: Riziki Pemba Juma,
kwenye mkutano uliofanyika ukumbi wa baraza la wawakilishi Wete Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AFISA
Elimu na Mkoa wa kaskazini Pemba Mohamed Nassor, akijibu hoja za baadhi ya waalimu
wa wilaya ya Wete, kwenye mkutano wa waalimu uliohutubiwa na waziri wa wizara
hiyo Mhe: Riziki Pemba Juma, mkutano uliofanyika ukumbi wa baraza la
wawakilishi Wete (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
No comments:
Post a Comment