Habari za Punde

Waziri wa Habari Mgeni Rasmin Fainali za Kombe la Kipida Cup Maungano Zanzibar.

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma akizungumza na Wanamichezo walioshiriki Michuano ya Kombe la Kipinda iliofanyika katika Uwanja wa Maungani Wilaya ya Magharibi Unguja mchezo wa Fainali ulizikutanisha Timu za Teo Combain na Top Life. Katika Mchezo huo wa Fainali Timu ya Teo Combain imeibukwa kwa mwaka huu Bingwa wa Michuano hiyo kwa ushindi wa bao moja dhidi ya Timu ya Top Life. mchezo uliofanyika Uwanja wa Maungani Zanzibar. Timu hiyo imepata Medeli na Ngombe.  

 PICHA ZA MICHEZO WAKATI HUU HUO WAZIRI ALIHUDHURIA KATIKA FAINALI ZA MPIRA WA MIGUU ZA KOMBE LA KIPWEDA CUP ZILIZOFANYIKA MAUNGANI ZIKIWA HUU NI MWAKA WANNE TANGU ZIASSISIWE KATIKA FAINALI HIZOO TIMU ILIOFIKA FAINALI NI TEO COMBIN NA TOP LIFE AMBAPO TEO COMBIN IMESHINDA GOLI MOJA KATIKA DAKIKI YA 66 KIPINDI CHA PILI BAO LILILOFUNGWA NA JUMA ALI, ZAWADI KWA MSHINDI WA KWANZA ALIPEWA NGOMBE, MEDANI 25 ZA ZAHABU,KOMBE.Katika nafasi ya pili Mshindi alipata mbuzi medani 25 za zahabu pia kulikuwepo na zawadi za kipa bora, mcezaji bora,refarii bora na tumu ilioonesha nizamu alipokea kombe katik picha hiyo ni team capten ali mwinyi ali.
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma akiwavisha medali mabingwa wa Michuano hiyo Timu ya Teo Combain.
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma akimkabidhi Kikombe cha Ubingwa Nahodha wa Timu ya Teo Combain Ali Mwinyi . Na Mshindi wa Pili amekabidhiwa Mbuzi na Medeli. Timu ya Top Life

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.