Thursday, August 4, 2016

Zanzibar Ni Njema

Watalii watetembelea maeneo ya Mji Mkongwe wa Zanzibar katika maeneo ya historia ya Zanzibar wakiwa katika mitaa ya shangani wakiendelea na safari zao za Kitalii katika maeneo hayo.