Habari za Punde

Ziara ya Kimasomo Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Rahaleo Unguja ZBC Redio

Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Rahaleo wakiwa katika chumba cha mawio katika jengo la ZBC Redio Rahaleo wakati wakiwa katika ziara ya kimasomo kujifundisha jinsi ya urushwaji wa matangazo katika kituo hicho cha redio.Wakiwa makini wakisikiliza mtayarishaji wa vipindi vya mawio ambovyo hurushwa na ZBC Redio wakati wa asubuhi saa kila siku. 

Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Rahaleo Zanzibar wakiwa katika ziara ya kimasomo kutembelea Jengo la ZBC Redio Rahaleo Unguja kujionea utendaji wa kazi za urushaji wa matangazo na kutengeneza vipindi vya redio kituoni hapo wakimsikiliza Fundi mitambo akitowa maelezo ya urushaji wa vipindi hivyo wakiwa katika chumba cha matangazo wakipata elimu ya redio. ikiwa ni moja ya somo katika masomo yao skulini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.